VOA Swahili ›› Mafuriko yahofiwa kusababisha mlipuko wa maradhi Kenya | VOA Swahili
Nairobi kama miji mikuu mingine barani Afrika inashuhudia ongezeko la mvua kubwa ambazo zinasababisha mafuriko na kuathiri shughuli za wananchi ambao wanawasiwasi na mlipuko wa maradhi mbalimbali yanayosababishwa na maji machafu. Kwa mujibu wa wataalamu, …